Harmonize Ft. Mabantu – Deka, Lyrics

DEKA LYRICS BY HARMONIZE FT. MABANTU

Brother acha ujinga

Ghhgg

Motto wa kike sifa yake kuringa

Ubahiri mwisho iringa uoni kina konde boy

Wanavyo mwaga mandinga mmmh

Kajala one and two ten azote ni range

Mwenzetu umetuma ka laki tu na bado

Unauliza chenji

Eti kisa cha kumyimbia ni vipombe chips na vikuku

Brother ukijiona bondia kazichape na mwakinyo

Ama kiduku

Ndio maana akipendacho binti

Wahuni tunanunua ili ikifika mida ya miti

Asije akasumbuwa

Deka deka deka

Nikudekeze

Baby deka, hmmm hmmm deka

Aaaah deka nikudekeze

Baby girls deka deka deka

Deka nikudekeze, baby deka

Deka deka deka nikudekeze

Uhn uhn uhn uhn uhn

Si wanapenda kubang

Uhn uhn uhn uhn uhn

Kumanisha nini

Unaniletea u star

Me mwenyewe star

Heee, unaniletea u star

Me mwenyewe star

Yooo

Kwanza mama yangu star (star)

Baba yangu star (star)

Wanangu ma star

Weeeh, iyo bebe yangu star

Ex wangu star

Mahepuko wangu star

Inh sasa usinituletee u star

Wenzako tunajinyima kula mwili ukonde

Tupate na yi six pack

Licha ya kunung’unula miuno ya kimakonde

Ila bado mademu wanatu pack

We unamtumia pengine hapati ati hata mia

Kipindi unakazana kumkaribia

Wenzako wanashindana kumgharamia

Aki aki akipendacho binti

Wakuni tunanunua ili ikifika mida ya miti

Asije akasumbuwaa

Deka deka deka

Nikudekeze

Baby deka, hmmm hmmm deka

Aaaah deka nikudekeze

Baby girls deka deka deka

Deka nikudekeze, baby deka

Deka deka deka nikudekeze

Konde boy call me number one


Always Visit Our Site Howlegit.com.ng For Latest Latest Nigeria, Ghana, South Africa, Fakaza, Hip Hop, Latino, Spanish, Reggae, Afro Pop, Rnb Mp3 Music Lyrics


 

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *